Monday, February 26, 2018
Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

LATEST ARTICLES

Video: Naiboi jukwaani KIMC fully kuenjoy!

Hafla kubwa ya maonyesho ya mitindo, ulimbwende na utamaduni hatimaye imetamatika kistaarabu. Kenya Institute of Mass Communication (KIMC) Cultural week ilioanza Alhamisi tarehe 22/ 2/ 2018 imekamilika hapo jana usiku Jumamosi kwa mbwembwe kubwa ya...

Did Vybz Kartel Give Popcaan A Huge Shout-out On The Gram

There is no love lost between Vybz Kartel and Popcaan, at least not on the Unruly side. Kartel and his former protege have a strained relationship since his incarceration in 2011, but over the years we’ve constantly...

Vita vya Timmy na Otile Brown ‘Tam Tam’

Waliopigana mbele za watu leo wamekula sahani moja. Kimbelembele na kiherehere kilichozagaa kwenye mitandao ya kijamii watu wakipigia upatu 'ugomvi' wa kupanga baina ya wasanii wawili wakali nchini Kenya, imeishia kuwa 'Utamu' tu. Timmy T Dat...

Navy Kenzo waleta ‘Charger’ mpya !!

Kutoka bongo Tanzania ni kazi mpya kwenye industry ya muziki inayosumbua kwenye media na mitandaoni. Wakali hao ambao pia ni wapenzi tangu shuleni kwa sasa ni wana ndoa ambao pia ni wasanii. Navy Kenzo ambalo ni...

Mitego Sasa Launch Party sio ya kukosa!!

Hii ni kubwaaaaaa kuliko zote ulizoshuhudia fika sasa ujionee!! Ni bonge la launch party maarufu kama Mitego Sasa Launch Party ambapo inategemewa kufanyika mwisho wa mwezi Machi (30th March 2018 Good Friday Night!!) Mitego Sasa inakuwalika...

Vybz Kartel Prison Visits At GP Suspended.

Vybz Kartel won’t be getting any visits at GP anytime soon. Authorities have suspended all inmates visits at the Tower Street Adult Correctional Centre in Kingston indefinitely. The move came after prison officials discovered two large underground...

Rihanna Fans Rips Chris Brown For Wishing Her Happy Birthday

Rihanna fans smell blood and Chris Brown is their target this time. Breezy can’t get a break for even for doing something good. The “New Flames” singer wished his ex-girlfriend Rihanna a happy 30th birthday on Instagram...

Luhya Queen Arejea Kwenye Muziki kwa Kishindo!!

‘Hayawi hayawi huwa’ kama wasemavyo wahenga…..msanii mahiri wa kike,Qelsey Kenya a.k.a The Luhya Queen arudi kwenye biashara ya muziki kwa kishindo.Anatambulika kwa vibao noma noma kama vile; Susasusa,Ni wewe tu na Muliro aliyoachia mwaka...

TIMMY TDAT AND OTILE BROWN END BEEF WITH A JAM SONG

TIMMY TDAT AND OTILE BROWN END BEEF WITH A JAM SONG...
video

‘Shame on you!’ student tells Trump at Florida anti-gun rally

A survivor of the Parkland school shooting called out US President Donald Trump on Saturday over his ties to the powerful National Rifle Association, as several thousand rallied in Florida to demand urgent action...

Taking Control of your life

The best feeling that anyone can have is a peaceful heart and a sane mind but the sad truth is that these things as simple as they sound are just as complex to achieve....

DJ Khaled Gets Roasted On Twitter For Judging Dunks At NBA All-Star Weekend

DJ Khaled is currently getting roasted on Twitter for unfairly judging a dunk. DJ Khaled was one of the guest judges at last night’s All-Star Weekend’s Verizon Slam Dunk contest and it ended badly for...

Video: Man rears Chicks under his Beards

Hio video ni ya ajabu kweli yaani pia wanadamu wa uwezo na kipaji kikubwa kwenye maumbile yao. Huyo jamaa amefuga vifaraga hai chini ya ndefu zake hizo ndefu. Tazama hapa juu kwenye video. Play. #MitegoEA

Video: Man grows Chicken under his Beards

Hio video ni ya ajabu kweli yaani pia wanadamu wa uwezo na kipaji kikubwa kwenye maumbile yao. Huyo jamaa amefuga vifaraga hai chini ya ndefu zake hizo ndefu. Tazama hapa juu kwenye video. Play. #MitegoEA

Picha: Mwanafunzi apigwa risasi badala ya mwenyekiti CHADEMA!!

Imetokea mkasa mkubwa ambao umeshtua watu wengi baada ya kifo cha mwanafunzi nchini Tanzania. Mwanafunzi huyo alipigwa risasi Jana kinondoni na polisi akiwa kwenye daladala baada ya risasi hiyo kumkosa mwenyekiti wa kambi ya upinzani...

Follow Us

631FansLike
1FollowersFollow
1,078FollowersFollow
587FollowersFollow
210SubscribersSubscribe

MOST POPULAR

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.
X
%d bloggers like this: