vee afrimma 2015Ni kwenye Tuzo za AFRIMMA 2015 huko Marekani ndiko msanii wa Tanzania alipata tuzo hio ya “The Best Female East Africa” katika ngazi za kimataifa. Venessa Mdee anatambulika Afrika mashariki kwa kazi zake zuri amesema imefikia hatua ya dunia kumtambua na pia watu kumheshimu kwani tuzo hio imefungua ukrasa mpya kwenye muziki wake.

Mdee amekuwa akifanya collabo kali na wasanii wa nje na pia kufanya video kali kwa ajili ya ngoma zake.vanessa and 2face