IMG_20150711_095645[1]

Kama kawaida ya kipindi cha Ukumbi wa vijna katika kituo cha Radio cha ECN RADIO 99.9FM, huwa nafasi wasanii kupenya katika soko la muziki na kufikia mashabiki wao kupitia muziki au kazi zao za kisanaa.

Huwa ni nafasi kubwa kwa kila msanii mdogo au labda gwiji wa muziki kuskika kwani wafuatiliaji wao huwaskia moja kwa moja hewani kuanzia saa mbili hadi saa tano asubuhi.

Asilimia kubwa sana ya wasanii wanaitambua Ecn radio na mchango wake kwa kazi zao.

usaili wa wasanii ufanyika takribani kila kipindi hususan Ukumbi W a Vijana pamoja pia na kuangazia masuala ya vijana.

IMG-20150926-WA0020[1]

Picha:(mtangazaji Antony Mckenzie, msanii Mendy Kenya, Dj Biggie, na DJ mwenzetu).