chameleone and Barnaba

Hii ndio cover photo ya ngoma anayoshirikishwa na msanii wa Tanzania, Barnaba na kutoa dhamira yake kuwasaidia wasanii wachanga kwani yeye alipokuwa akiibukia kwenye soko la muziki wasanii wakubwa hawakumpa nafasi hio.

Jose Chameleone ni mwanamuziki wa Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla lakini pia ni msanii amabaye si mgumu wa kufanya collabo na msanii yeyote.

Alikutana na msanii Barnaba kwakati akitumbuiza jijini Dar. Staa huyo wa Uganda amefanya kazi na wasanii wengi wakiwemo wakubwa kwa wanaochipukia ila kasema anawapa nafasi kubwa wasanii wachanga na yeyote atakaye hitaji kwa sababau alinyimwa nafasi hio na wasanii wakubwa.

MitegoEA

Vote MITEGO SASA as the best Blog in Xtreem Awards 2017. SMS RRA2 to 22275. Vote many times as possible, Share too!!