Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

dai ema

Baada ya kuzoa tuzo 3  huko Texas Marekani kwenye tuzo za AFRIMMA 2015, Bado Diamond anazidi kukuza jina la Afrika Mashariki kwani leo yuko Italia kwenye tuzo nyingine. Tuzo hizi za Ema Milan 2015 zinatolewa leo saa sita usiku huko jiji la Milan Italy ambapo msanii kutoka Tanzania aliteuliwa kuwakilisha Afrika nzima.

Diamond Platnumz anawania nafasi ya “Best WordWide Act” kitengo cha Afrika kwani anagombea ushindi huo na mwanamuziki wa India.

Baba Tiffah ndiye msanii wa pekee kutoka Afrika anayewakilisha kwenye Tuzo hizo usiku wa leo.

Bado unayo nafasi kumwezesha Daimond kutwaa tuzo hio kwa kumpigia kura kabla ya saa sita usiku kufika, kweli hujachelewa aisee.

Diamond Platnumz

MitegoEA.

Vote MITEGO SASA as the best Blog in Xtreem Awards 2017. SMS RRA2 to 22275. Vote many times as possible, Share too!!

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.