_jpg_3181403b

Strika matata wa klabu cha Chesea amesema kwamba hatobadilisha uchazaji soka  wake kwani umemfikisha mbali na wala yeye sio malaika.

Costa amepigwa marufuku mechi tatu mara mbili mwaka huu kwa utovu wa nidhamu uwanjani. mara ya kwanza alimvyoga mcheza Emre Can wa Liverpool na mara ya pili kumsukuma Laurent Koscienly wa Arsenal.

“Sitobadilisha hilo eti kwa sababu vile watuwanachukulia uchezaji wangu” alisema hayo Diego Costa

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27, aliongeza kusema kuwa amefika mbali hivi kutokana jinsi anavyocheza.

1 COMMENT