Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Kcee-7

Jumamosi ya Oct.24, mwimbaje wa Nigeria Kcee aligeuka mhudumu wa ndege kwa siku moja alipovaa sare za “cabin crew” na kuhudumia abiria kwenye safari moja kama wafanyavyo wahudumu wengine.

Mwimbaji huyo wa “Limpopo”aliye shirikiana na Diamond na Shetta ndiye “Brand Ambassador wa kampuni ya ndege ya Air Peace ya Nigeria na alikuwa akionesha majukumu yake ya ubalozi.

Kcee-1

Kcee-10

Kcee-9

Kcee-5

Kcee-2

Kcee-12

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.