Rigo Song

Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Cameroon, Rigobart Song ameteuliwa na shirikisho la soko la Chad (CFF) kuwa kocha wao mpya baada ya Emmanuel Tregoat aliyefukuzwa.

Song mwenye umri wa miaka 39, alistaafu soka maka 2011 na amekuwa kifanya uchambuzi wa soka kwenye TV.

Beki huyo aliichezea Cameroon kikosi maarufu kama Simba wasiofungika kuanzia mwaka 1993 hadi 2010 akishinda mataji mawili ya AFCON na timu hio.

Pia aliwahi kutumikia vilabu vya Liverpool, Galatasaray,West Ham united na Mertz.

Jukumu la Song ni kuiandaa timu ya taifa ya Chad kataka kufuzu kumbe la dunia dhidi yaMisri jumatatu ya Novemba 9 nyumbani.

MitegoEA

Thanks Keep Voting More and More guys. MITEGO SASA BLOG as the Blog in Xtreem Awards 2017.
SMS RRA2 to 22275.