mondi na mafikizolo

Collabo iliyofanya na Daimond Platnumz na kundi la muziki la  Mafikizolo wa Afrika Kusini video yake hajiwahi kutoka.  Mafikizolo ndio waliomba collabo hiyo kwa Daimond.

Baada ya ukimya mwingi kuhusu video hio, habari njema ni kuwa  mshindi wa MTV Ema  World Wide Act Afrika / India Daimond ni kuwa mwezi ujao watashoot video hio.

mafikimondi

MitegoEA

Vote MITEGO SASA as the best Blog in Xtreem Awards 2017. SMS RRA2 to 22275. Vote many times as possible, Share too!!