Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

12080694_899379490146509_1446453151_n

Joseph Haule aka Professor Jay na ambaye ni mbunge mteule wa eneo bunge la mikumi kupitia tiketi ya CHADEMA ametaja muziki kama kila kitu kwenye maisha yake hadi kushinda nafasi ya ubunge.

Jay amesema atazidi kukuza kipaji chake licha ya kuwa anaingia bungeni.

Amesema kuwa muziki aliokuwa akuiufanya¬† na bado anaufanya ni kwa ajili ya ustawi wa taifa lake na mustakabali wa nchi yake.” Nimeimba vitu vingi kuhusiana na changamoto zinazotukabili katika maisha yetu, so muziki umefanya nipate sauti na kuskika zaidi” amesema Jay

Kwa hivyo muziki umechukua jukumu kubwa kwenye mafanikio yake maana asingejulikana bila muziki na ataendelea kuheshimu muziki kwani ni kipaji alichopewa na mungu na atakikuza hata baada ya kuingia bungeni

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.