Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Kisa cha ajali ya barabarani kilichotokea takribani miaka miwili iliyopita kilimfanya msanii huyu kudidimia kwenye tasnia na soko la muziki.

Jmwa@t ambaye amekuwa kimya kwa miezi sita kufutia ajali hio, alikuwa akipambana na tatizo la uraibu wa ulevi na mihadarati kabla ya kuhusika kwenye ajili hio amekuwa akijitahidi kuinua hadhi ya muziki wake.

Msanii huyu anayefahamika kwa majina yake;James Wathigo Mburu, aliyefahamika kwa ngoma zake kama vile,”Sitoi Kitu Kidogo” na “Under 18″kabla hajajitosa kwenye janga la mihadarati ila kwa sasa anafanya kila juhudi kurejea kileleni kama wimbo wake mpya “On My Way” utatamba kwenye chati za muziki.

“Last year I launched, “Tamu Sana” in collaboration with upcoming gospel artiste, Jedidah. The song was closely followed by “Tunazubaa”, which featured upcoming artiste, P-chwani. This year I released “On My Way”, a song that briefly gives a glimpse of my music career,” alisema Jmwa@t.

Mwaka jana aliachia ngoma “Tamu Sana” aliyomshirikisha msanii chipukizi wa Injili Jedidah. Kibao hicho kilifuatiwa kwa ukaribu na “Tunazubaa” alichomshirikisha msanii chipukizi P-Chwani. Mwaka huu ameachia “On My Way” ngoma itakayompa umaarufu kwenye soko la muziki.

Jmw@t amekusudia kubadilisha mtindo na aina ya muziki wake ukilinganisha na hapo awili alipokuwa akiimba ngoma za Mapenzi, Ulevi lakini pia Burudani.

“Some would argue that some of my latest hits for instance “Tunazubaa” hasn’t quite passed this test, but I realised that change doesn’t have to be so drastic. If you get a chance to listen to my mix tape you’ll notice that though some songs do contain such sentiments, there is a huge change,” alielezea Jmwa@t

CHANGED MAN

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.