Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

12751355_599396236878361_1668889686_n

Kati ya vitu ambavyo hungeweza kutegemea kwenye uhusiano wa kimapenzi baina ya mshindi wa BBA Afrika Idris Sultan na mwigizaji aliyekuwa Miss Tanzania, Wema Sepetu ni kuuvunja uhusianao wao.

Wawili hao wamekuwa katika mahusiano kwa kipindi kidogo baada ya tetesi za ujauzito amabao Wema alidai kuwa nao kutoka.

bado haijulikani chanzo cha utengano wao ila inaonesha kuwa wema kakosewa kwani aliishia kuzifuta picha zote amewahi kuzipost akiwa na Idris kwenye akaunti yake ya Instagram

Wema aliwahi kueleza jinsi anavyompenda Idris na ambavyo alimfanya awe mtu mwema.

Idris Sultan: Nilikuwa nawapenda Wema na Samantha kwa wakati mmoja, ‘I was a very bad guy

Hata hivyo Idris anaonesha bado anampenda Wema kwani alipost picha akiwa naye na kuandika: Only you know how i love you, the rest doesn’t matter#BeingAMan

wengi alikuwa na matumaini yao kuwa miongoni mwa wepenzi wenye uwezo mkubwa sana . Walikuwa pia wanataka kuja na Realty Tv shows yao.

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.