Rekodi aliyowahi kuweka msanii Michael Jackson kwa kuwa  na nyimbo nyingi zilizoshika nafasi ya kwanza duniani kwa ngoma 14 imevunjwa.

rihanna

Rihanna mwenye umri wa miaka 28, ameandikisha rekodi mpya ya kuwa na nyimbo 14 zinazoshika nafasi ya kwanza kwenye chati za Billboard 100 kwa sasa baada ya single yake mpya aliyomshirikisha Drake.

Rihanna bado yupo nyuma ya Mariah Carey ambaye ana nyimbo 18,huku The Beatles akishika rekodi za dunia akiwa na nyimbo 21.

>MitegoEA

1 COMMENT