Msanii  gwiji wa Bongo Fleva ameweka wazi kuwa alianza kuupenda muziki akiwa na siku saba tu.

Ali Kiba

Ali Kiba amedai wazazi wake waligundua kipaji chake akiwa bado mtoto mchanga kwani alikuwa hapati hata usingizi bila kuskilza muziki na kuucheza.

Akizungumza na kipndi kimoja huko Tanzania #Chill and Sky hivi karibuni alisema hata Kitanda chake alichonunuliwa na babake Nairobi kilikuwa na radio, ilikuwa lazima waweke stasheni yenye muziki ndo apate usingizi, wakizima alikuwa analia sana.

Kiba alikuwa mpenzi wa muziki toka kipindi hicho, na baadae akaanza kupiga mpira akiwa nyumbami kisha shuleni akawa bora.

>MitegoEA