Msanii maarafu kutoka Afrika Kusini amefikia hatua nyingine kimziki. Hii ni baada ya vido yake na Diamond Platnumz , Make Me Sing kufikisha watazamaji Milioni moja ndani ya siku 10, na kumfanaya kuwa msanii wa kwanza nchini humo kufikia hatua hio kwa kipindi kifupi.