Video ya muziki kutoka kundi la Mafikizolo wa South Africa wakimshirikisha Diamond Platnumz inasubiriwa kwa hamu kubwa sana.

12751373_1711477189073230_1677377181_n

Mmoja wa wanakundi hilo la Mafikizolo, Theo, amedai video ya wimbo huo uitwao “Colours Of Africa”, utaachiwa mwezi ujao.

“Finally, the Delay is Over, The Most Anticipated of Africas Finest(MAFIKIZOLO ftDIAMOND PLATNUMZ & DJ MAPHORISA) COLOURS OF AFRICA, coming out in , APRIL, the countdown starts today.

Theo aliandika kwenye ukrwasa wake wa Instagram.

Video ya wimbo huo ilifanyoiika December mwaka jana.

Hivi karibuni, Theo aliandika kuwa collabo hio ni moto wa kuotea mbali.