Rapper hatari nchini Tanzania ana nyimbo zaidi ya 1000 kwenye store yake ya muziki.

Kimbunga Mchawi

Kimbuga amabaye anatamba na wimbo wake wa “Shika Adabu Yako Remix”, na ambao ulizua sitofahamu nyongi hadi kufungiwa na BASATA baada ya mwenye ngoma, Ney Wa Mitego kuuwachilia. Remix hio inafanya vizuri kwnye media amekiri Kimbunga wakati wa usaili kwenye kipindi Clouds FM.

Pia amesisitiza kuwa watu wasishangae kwa kuona akiachia ngoma kila baada ya wiki kwani anazo nyingi.

“Nina nyimbo nyingi zaidi ya elfu kwenye store yangu,huu mwaka nitaachia ngoma kibao na pia msichangae ukiona kila baada ya siku mbili nimeachia wimbo mpya. Hta kama nisipoachia wimbo kwenye radio tu naweza nikaachia wimbo kwa ajili ya mitandao tu” alisema Kimbunga.