Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Kama tunavyomfahamu mchekeshaji gwiji katika Churchill Show, ameibuka na jipya kuthibitisha kuwa, UJALUO NI GHARAMA.

Eric_Omondi_Chantal

Erick Omond akalikodisha ndege aina ya Helcopter (Choppper), kuhudhuria ‘Bonge la  Party’ ya mpenzi wake,(Chantel Juliet Grazioli) wikiendi iliyopita.

Hii ilikuwa habari ya mjini kwani Eric Omondi alikodisha Chopper hio mpaka  milangoni ya Carnivore mahali palipokuwa na Chantel’s Red &Black Party.

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.