AY atakuwa ndani ya Galileos Lounge Westlands usiku wa leo ili kukutana na mashabiki wake wa muziki wa  Bongo Hip Hop.

A.Y. (musician).jpg

AY anatamba kwa wimbo wake wa ‘ Zigo Remix‘ aliyomshirikisha staa Diamond Platnumz. Anatarajia kufanya bonge la shoo wikiendi hii ya Xclusive Friday,Westlands-Galileos Lounge na ambapo ushuhudiwa  misururu ya watu mashuhuri kwenye tasnia ya Muziki na burudani kila wikiendi.

Jumamosi huwa ni Party Night Lights wakati watakuwa wakishirikisha DJ gwiji, Joe Mfalme, kesho usiku.

USIKOSEE,,