Asista ni kundi la muziki wa Modern Taarab, jina ambalo lina asili ya kikalejin kwa maaana ya “THE SUN” jua kwani nia ya kundi hili ni kuangaza mwanga kwenye nyuso za watu kimuziki.

Kundi hili limekuwa likikitahidi kuleta ladha tofauti ya muziki wa Taarabu kwenye baadhi ya ngoma zapo moto moto na wanaujio mpya kwa jina,’KARAMU’.

video yake itazame hapo juu mtu wangu utapenda aisee.

Facebook: https://www.facebook.com/Asista-MUSIC
Twitter : https://twitter.com/asista