Willy Paul ametupia picha na kundi la Sauti Sol ishara ya collabo yao. Mkali huyo wa nyimbo kama, Sijafika, Kitanzi,Tamu Tamu na nyingine anaonekana kuvuka na kuamua kusaka mashabiki kwenye ulingo wa muziki wa dunia.

Kwenye kazi hio na wana Sauti Sol, Msafi alionekana na mitupio ya pamba za hatari kitu ambacho wengi wa mashabiki wake wanapenda kuona kutoka kwake zaidi ya uhodari wake wa kuimba nyimbo tamu.

Willy Paul

Wana Sauti Sol na Willy Paul wakati wakishoot video ya wimbo wao juzi.

Hii ndio cover ya video hio.