Kundi la Muziki nchini Tanzania ‘Weusi’ wanashoot Video ya wimbo wao wa pamoja huitwao ‘Sweety Mangi’ imefahamika

13248996_538229193045443_1973897236_n

Joh Makini, G-Nako na Nick wa Pili walikuwa jijini Johannesburg kushoot video kadha ikiwemo hio yao mpya.

13256565_993250390724548_1049189991_n

Watatu hao wametupia picha kwenye ukurasa wa Instagram wakiwa kwenye location na mwongozaji wa video, Justin Campos.

“Sweet mangi video….done….kaamkao wa kula,” ameandika Nick kwenye picha aliyoiweka Instagram.

Sweety Mangi si video pekee waliyoenda kushoot. Kabla ya hapo walishoot video nyingine ya wimbo wa Joh Makini aliomshirikisha staa wa Nigeria, Chidinma. Pia kuna wimbo waliomshirikisha rapper wa Afrika Kusini, Khuli Chana.