Wasinii wa Kenya nao hawaachwi nyuma kutengeneza ‘Bifu’ ambazo hazieleweki maan yake. Kumekuwa na maneno ya kuzinguana kwenye mitandao kwamba Bifu ya Bobby Mepesa na Nonini na pia kundi la P-Unit haijaisha wala haitegemewi kuisha karibuni

Msanii huyu Bobby Mepesa amanaye anatokea sehemu za Eastlands anadai kuwa Nonini na P-Unit hawana pesa kamwe na pia ulipiwa Bills na ‘Sugur Mummies’. Rapa huyu pia amesema kuwa Nonini aliwahi kumtapeli shilingi Sh 3m.

P_Unit_Kenya

“NASHINDWA HIYO DOH MINGI HIVO AMEFANYIA NINI; TOYOTA NI ILE ILE MZEE, AFANYI MAVIDEO KALI. ANAFANYA VIDEO CHEAP NA NI GODFATHER WA GENGE…MZIKI MBAYA..NASHANGA TU.”

Nonini alimchana rapa huyu,Bobby Mapesa kuwa hawezi kulipa ‘Ren’t ya nyumba na anajiita ‘Mapesa’?

Bobby amekiri kuwa yeye ndie aliwafunza P-Unit Gabu,Frasha ana Bon-Eye  kurap kabala hawajapata sifa na umaarufu walionao ila amesema kundi hilo nimefilisika kiasi cha kununuliwa hata chakula na ‘Sugar Mumies’ japo kuwa P-Unit wamekanusha madai hayo ya Bobby Mapesa