Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Kumbe pia kuna mastaa wengi wa kike wenye majina tajika bado wapo ‘single’ maishani?

Wasanii hawa ni miongoni mwa watu maarufu sana Kwenye tasnia ya muziki na pia kwenye miasha ya kawaida tu.

Victoria Kimani mkali wa wimbo wa Prokoto anadaiwa huwa hayupo kwenye mahusiano ya kimapenzi tangu alipodaiwa kutoka kimapenzi na mchezaji wa Tottenham Hotspurs, Victor Wanyama na baadae Victor kukanusha madai hayo mwaka  2014. Kimani alianika mitandaoni ya jamii kuwa yupo pwekee.

victoria_kimani
Victoria Kimani

Victoria Kimani

Mwimbaje mwengine ambaye anasaka mchumba wa kumpa joto muda wote na ambaye ni mrembo mno ametangaza vigezo vya mwanaume anayetaka kuishi naye milele.

Huyu si mwengine bali ni msanii Vivian mwenye uzuri na urembo wa hurulaini ambaye ameamua kutulia baada ya muda mrefu  tu bila mchumba.

vivian
Vivian

Lilian Muli ambaye ni mtangazaji mahiri kwenye runinga  pia hajaachwa nje ya orodha. Lilian anadaiwa kuwa alikuwa kwenye mahusiano na mwenyekiti wa klabu ya soka ya Shabaan Fc, Jared Nevaton baada ya kuachana na aliyekuwa mme wake. Baadae Lilian ambaye ana mtoto mmoja alikana madai hayo kwa kusema kuwa wao ni marafiki tu wanaosaidiana kwenye masuala ya biashara.

Lilian Muli

Lilian Muli

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.

1 COMMENT