Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Safaricom lines za mtandao wa 4G ambazo zinafanya maajabu kwa kuunganisha watu duniani kwa sekunde tu. Hufai kupitwa na kujipatia Sim card ya 4G LTE sasa hivi.

Mtandao huu ambao umehimarishwa kutokwa kwa 3G kuwezesha kuunganisha watu kwenye mitandao kwa upesi na pia kupunguza matumizi ya vifurushi(Data).

Tazama Video Hapa chini kwa Hisani ya Daily Nation

Safaricom 4G LTE-A
Bob Collymore-Uzinduzi wa 4G LTE

Safaricom imekuwa ya kwanza kuchangia maendeleo ya kitechnologia duniani na humu Kenya tayari wameshazindua mfumo huu wa kasi na wa kisasa katika sehemu tofauti nchini kama vile Mombasa, NairobiGigiri, Parklands, Runda n.k.

Kwa sasa mfumo huu mpya wa 4G unawezesha Laptops, Smartphone,na Wireless Modems kupata mtandao huu kwa wepesi popote pale.

“We have already paid $75 million to the regulator to acquire frequency in the 800 megahertz band, which they are yet to allocate us,”Alisema Bw. Collymore.

Mtandao huu umezinduliwa kufuatia dili ya kuboresha Mawasiliano na Ulinzi wa taifa kati ya kampuni ya Safaricom na Wizara ya Fedha walipoingia mkataba wa takribani Sh.14.9b ili Safaricom wahimarishe utendakazi na huduma za Ulinzi wa Polisi Nairobi na Mombasa.

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.