Wimbo na Video mpya ya msanii Edrocker Mwanaari. Ni msanii chipukizi kwenye Game ya muziki Kenya ila anafanya juhudi kuteka anga za burudani.

Video hii imefanyika  katika mazingira ya Club na sehemu ya burudani na kweli imeambatana na maudhui ya wimbo wenyewe.

Tazama video ya wimbo unaitwa Chafua Meza. Producer Kennrush na Cosmic Beats.

ENJOY…