Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Muziki katika kanda ya Afrika Mashariki umeshika kasi mno kwani ni dhahiri kwa kuona kila kukicha kazi mpya kutoka kwa wasanii wakitambo kwenye Game lakini pia wengine chipukizi.

kichunaa

Dayna Nyange mkali wa kibao ‘Angejua’ amerudi tena na wimbo mpya kwa jina ‘Komela’ aliyomshirikisha msanii aitwaye Billnass.

Inline image

Wakali hawa wawili wa nchini Tanzania wanakusogezea burudani zuri mchanganyiko wa muziki wa kuimba na Hip Hop ya kurap muziki wa Bongo Flava.

Ngoma hii imefanyika chini ya Producer Mr. T Touch kwenye studio ya Free Nation.

Bofya Link hapo chini uskize kazi hii mpya.

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.