Video ya wimbo kwa jina ‘Jiggy Jiggy’ na ambayo ni moto wa kuotea mbali imeachiwa. Inafanya vizuri kwenye vituo vya radio na Tv nchini.

Artists: Real Genius na Shampoo beby kutoka kwa kipaji media

Producer: Nuru Mwamba

Video Director: Steve Obi (Black MergStudio)

Wimbo huu unazungumzia watu wanao penda ngono Sana zaidi ya kila kitu na kuwataatharisha na majanga ya magonjwa hatari Kama Ukimwi.