Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Mkali wa ngoma ‘Prokoto’ ‘ Two of Dem’ ameingia studioni kwa ajili ya wimbo mpya.

Victoria Kimani

Victoria Kimani msanii kutoka Chocolate City ameonekana studioni akirekodi ngoma mpya na msanii kutoka Afrika Kusini na ambaye waliwahi kufanya collabo naye kwa jina’ All The Way” na kufanya vizuri kwenye radio na runinga nyingi.

 

Chocolate City Lady- Vicky

Kimani amemshirikisha Khuli Chana tena Kama walivyoonekana kwenye studio 
Alhamisi wiki hii siku ambayo ni ya kuzaliwa kwa Victoria Kimani.

Kimani & Khuli Chana

Kwenye Instagram akaunti ya Kimani ameandika hivi;’We made magic once again… @khulichana01.

We made Magic once again … @khulichana 🌪 https://t.co/IkJRVJABXN”

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.