Kufuatia msururu wa tuzo mbalimbali za kazi ya sanaa Afrika na duniani kote, wakenya nao hawaachwi nyuma.

Juhudi za wasanii Kenya zinaanza kuonyesha dalili nzuri na dira tofauti kwenye tasnia ya muziki Kenya.

African Youth Choice Awards (AYCA) ni tuzo zitakazo fanyika Lagos Nigeria tarehe 17 September 2016.  Wasanii wa Kenya na Afrika Mashariki wameteuliwa kuwania tuzo hizo kwenye vitengo tafauti tofauti.

Victoria Kimani

Best Female

 • Victoria Kimani


Video of the Year

 • Isabella- Sauti Sol

Best song by a duo group or featuring

 • Shake your BamBam – Sauti Sol

Youth company of the year

 • ECO POST
 • TRIA GROUP
 • WASP & SPROUT

Entrepreneur of the year

 • TRUSHAR KHETTA
 • ANGELA NEALE
 • LORNA RUTTO


Best Tech Startup

 • WE FARM


Revecation of the year

 • Sarah Mugambi


Hao ni miongoni mwa Wakenya wanaowakilisha kwenye tuzo hizo huku Diamond Platnumz, Ali Kiba, Vanessa Mdee wakiwakilisha Tanzania.

Diamond Platnumz