Kush Tracey aka Boss Mama ameachia video ya wimbo wake wa ‘Play Boy’ baada ya collabo yake na Timmy T Dat ‘Ndulu’ ambayo imefanya vizuri kwenye vituo vya Radio na Tv lakini pia katika kumbi za burudani.

Kush Tracey aka Boss Mama

Mkali huyu wa ‘Mbesa’ ni mkali wa mistari na michano ya uhakika. Amemua kuchana aliyekuwa mpenzi wake (Timmy T’Dat) wa muda mfupi baadae wakatengana kwa mbwembwe na fujo nyingi kwenye vyombo vya habari na mitandaoni

Wimbo huo umefanyiwa ndani ya Label yake ‘Big Dreams Media‘. Producer ni Amoh na Director Rick Bekko.

Boss Mama


Bofya Link hip hapo chini uweze kutazama Video yake mpya YouTube #PLAY BOY.