Hii video imefanyiwa marekebisho baada ya Original Version yake kufutiliwa mbali kwenye mtandao wa YouTube kutoka na kukiuka maadili kwani ilikuwa chafu kuonekana na watoto wasiozidi umri wa miaka kumi na minane kuenda mbele.

Itazame version mpya hapa chini.

Imefanyika ndani ya A million Records chini ya Producer Khalid.

Sis p ft dazlah – uchoyo (Official Video): http://youtu.be/Zx65jEYLa8o