​Ahaaaa!! Kumbe muziki Riziki na penye riziki hapakosi chuki.

Habari kuhusu kwanini soko la muziki kanda ya pwani ya Kenya haifanyi vizuri linaanza kueleweka.

Juzi tu msanii kutokea Mombasa Dogo Richie aliachia Kibao chake kipya maarufu kama ‘Muziki Majanga’.

Sasa kwa inasemekana kuwa wimbo huo kachongea bifu kati yake na wasanii wengi wa pwani akiwemo Kaa La Moto Kiumbe ambaye anasifika kwa michano yake hatari ya muziki wa aina ya Hip Hop.

​Kwa mujibu wa ukrasa mmoja wa radio moja wapo ya pwani ‘Kaya FM’ wameripoti hali hio ya taharuki kati ya wasanii hao.

Tufuate kwa habari zaidi na nyingi kupitia links zetu kwenye ukrasa humu Waitwa..‘Blog Links’.

‘Muziki Majanga’ yake Dogo Richie yazua Bifu kwa Kaa La Moto

Mitego_Unit