Diamond Platnumz aka Chibu Dangote akuja tena na makali yote na huu ujio amemshirikisha msanii kutoka Ivory Coast, Serge Beynaud.

Nyimbo hiyo mpya ‘Timbolo’ inatazamiwa kudondoshwa karibuni tu na imefanyiwa kwa studio ya WCB (Wasafi Records) na producer Lizer Classic

Serge

Diamond aka Simba

Pata kusikiliza kionja cha ngoma hiyo mpya hapa..