Mkali wa ngoma ‘Aminia‘ ambaye ni rapa na mwimbaji mzuri kwenye ubora wake amefunguka kinoma.

nyashinski1

Nyanshinski ambaye alishawahi kuhusishwa na uuzaji wa dawa za kulevya kipindi alipokuwa kimya akiwa Marekeni amepinga madai hayo na kusema kwa blogs na magazines zilikuwa bize kutafuta soko kupitia jina lake wala hajawahi kujiusisha na ulanguzi.

Mwimbaji huyo ambaye anatesa na ngoma kali kama ‘Mungu Pekee’amefunguka yote hayo kupitia kipindi cha Chimboni The Cruz kupitia EA Radio.

Kuhusu ngoma hio ya ‘Mungu Pekee’ team yake ilikataa kufanya video yake ili wawezeshe mashabiki kuskiliza message yake kupitia lyrics.

mungu peke

“Team yangu tuliamu kutoshoot video ya ‘Mungu Pekee’ ili fans wapate message ya ngom bila kutazama models au Mimi.”kamaliza hivyo.

Hata hivyo amezungumzi ngoma zake ‘Aminia’ na ‘Malaika‘ ambazo ni kazi ya producer Cedo.

“Cedo ni producer mkali sana tena ana style poa sana nikubali.”

Je vipi umejipangaje na collabos na wasanii wakubwa ili kujiongeza mshikaji? akauliza Presenter King Smash.

“Collabos napanga but not now. Wajua watu kama Jason Derulo, Tray Sons na Wizkid sio rahisi kuwafikia it needs patient. But kwa msanii Yemi Alade tumekuwa na mawasilino n soon tutaachia collabos yetu”. akaongeza Nyanshinski.

Kuhusu wasanii kushindwa kung’ara kwenye game ya muziki Kenya amesema kuwa muziki ni biashara inayohitaji team work na inafaa wasanii kufahamu hivyo lakini wasilenge kuimba ili kupata pesa tu bali iwe ni talenta.

#MitegoEA.

Click: www.facebook.com/MkazivaeUNIT