Kutoka bongo ni habari njema kutoka Wcb Wasafi. Leo hio yake Diamond Platnumz inakuletea kazi ‘Eneka’ yake Simba.

Habari nyingine ni kwamba aliyekuwa mshikaji mmoja wa nguvu kwa Diamond, Ommy Dimpoz naye amefunua dude lake jipya baada ya kimya kwenye game.

Ommy Dimpoz.

Ommy aka Poz kwa Poz ambaye pia record lebo yake ameachia wimbo mpya kwa jina ‘Cheche’.

Hata hivyo Dimpoz amekuwa msanii mwengine kusainishwa kwenye lebo ya Rockstar 4000 kunako wasanii wenzake kama Ali Kiba, Barakah da Prince na wengineo.

Hii hapa kazi yake mpya.

https://youtu.be/BWXr-Xh5idU

#MitegoEA.