Diamond ameachia single mpya baada ya collabo yake na msanii wa Nigeria Tiwa Savage ‘Fire’ ambayo ni kazi yenye ubora wake na inakubalika mno kwa mujibu wa views YouTube.

mond
Diamond

Mkali huyo kwa sasa anatesa na ‘Eneka’ na video ipo tayari ameachia leo huku ikiongozwa na Sesan nchini Afrika Kusini. Audio kazi ya producer Lizer Classic wa Wasafi records.

Tazama kazi yake hapa chini:

#MitegoEA.

Click:www.instagram/mc.antony