Hii sasa ndio habari ya mjini baada ya mtangazaji mwenye tajriba kubwa ndani ya Ntv Kenya kutangaza kuachia ngazi kuongoza The Trend.

Willies na Larry.

The Trend  ni kipindi kinachoangazia masuala ya burudani, talanta na muziki pamoja na kuelimisha jamii mambo makubwa yanayotukia duniani. Kipindo hicho kinachoruka kila Ijumaa huku kikiongozwa na Larry Madowo, Sasa huenda kikapata kiongozi mwengine baada ya Madowo  kujiuzulu kutokana na kile anachodai kwamba wanafunzi wake wameanza kuishiwa ubunifu na kucopy na kupeste show buzz yake The Trend hivyo hana budi kuwaachia ulingo huo.

Madowo.

Hata havyo tetesi za commedia kama kina Butita, Njungush  na wengineo zimesambaa kwamba huenda mmoja akachukua mikoba ya Larry. Isitoshe mtangazaji mmoja ndani ya 10 over 10 ya Citizen Tv, anakisiwa akawa ndiye mrithi wa hio show.. 

Raburu.

Willies Raburu  ambaye ndiye co host wa 10/10 kwa sasa anapania kijiunga na Ntv The Trend na kusukuma gurudumu hilo muda si mrefu.

Please leave your comments in the comment box and share our posts!! 

#MitegoEA.

www.facebook.com/MkazivaeUNIT