Je umekuwa ukijiuliza Duflah Diligon aka Jamping Antelope alipotelea wapi kimuziki basi fahamu amerudi na ngoma mpya!

Mkali huyo ‘Tempo, Biringisha’ amezama kwenye game muda mrefu hadi watu wakaohi kama labda alihama GrandPa records na akakosa sehemu ya kuproduce ngoma lakini sivyo ila yuko peace sana kweney lebo hio ya Refigah Heviweit.

duflah(1)
Duflah

Leo studioni Radio Maisha kupitia Konnect show ametambulisha ngoma mpya kwa jina ‘Juu Ya Meza’ ambayo ni idea yake mwenyewe ambayo inazungumzia mtu kutia bidi kazini kusaka pesa akisha zipata anatulia angalau kuburudika na vinyaji au chochote za tu cha starehe.

“Ni idea yangu mwenyewe nilipata nikiwa nimetulia nikona club song itaweza sana kwani watu wanapenda kutulia clubs na washkaji zao wakishika vinyaji baada ya hustle na kufanikiwa” amesema Duflah.

Amefunguka kwamba yeye na Visita wako poa hawana bifu lolote la muziki tangu King Maker huyo aondoke GrandPa na kufungua studio yake Hela records, wamekuwa wakipiga story sana.

Duflah mwenye ‘African suffering hair style’ pia hajasahau kufungukia suala la yeye kuwa na mkataba na GandPa ambapo kwa mujibu wake amesema kuwa bado mkataba hujaisha kwa hio bado yumo chini ya lebo hio.

#MitegoEA.

Subscribe to our YouTube channel sasa: MITEGO SASA utazame video zote kali.

Click link hii>>https://www.youtube.com/channel/UCLerJ63TxCYhYQ5UgK3jVGw/videos