Jaguar yupo matatani sasa baada ya gari lake kuhusika kwenye ajali ya barabaarani July 11,2017.

Gari lake hilo la msanii mwanasiasa anayewania nafasi ya ubunge kwenye eneo bunge la Starehe Nairobi, limesajiliwa kwa namba KBX 808J lilihusika kwenye mkasa huo wakati dereva alipokuwa akitumia simu ya mkononi wakati wakiwa kwa kampeni.

jag.jpg
Jaguar Kenya

Baada ya ajali hio dereva ametokomea na anasakwa na maafisa wa polisi kutona na kuharibu gari la Rose Masoni. Kesi imerekodiwa Industrial Area police station under OB/41/13/7/2017.

range4jaguar57mbll.jpg
Jaguar

#MitegoEA.

Subscribe kwenye YouTube channel yetu mpya; https://www.youtube.com/channel/UCLerJ63TxCYhYQ5UgK3jVGw/videos MITEGO SASA