Siku za kuhesabu sasa zimebaki ili kuona ndoa ya msanii wa gspel nchini Kenya akifunga pingu za maisha na anayempa moyo wake.

Bahati Kelvin alitangaza kuwa Agosti ndio shuhguli nzima itafanyika na kuhasi ukapera kwani atakuwa amepata jiko atakapo oa mrembo anayetanua kwenye mitandao naye.

Hata hivyo mkali wa ‘Pili Pili’ ameamua kwenda na wakati huku akifuata nyayo za Bahati kutambulisha mrembo wake adharani. Willy Paul aka Pozee amechukua hatua hio baada ya maneno ya kutemba na wanawake kwa jina ‘Prayer Partners’ na ndio kitu wameamua kukiweka kikomo akiwa na Bahati na kufuata uamuzi wa akili na nafsi zao.

willy.jpg

 

Willy Pozee kwenye ukrasa wake wa mtandao wa facebook, amepost ujumbe pamoja na picha na mrembo wake japo amemficha sura.

Tazama hii hapa:

“Now that I’ve become a man, I think it’s about time… I did the reallllll..”

 

POZEE
Pozee

#MitegoEA

Subscribe kwa YouTube channel yangu mpya sasa: https://www.youtube.com/channel/UCLerJ63TxCYhYQ5UgK3jVGw/videos MITEGO SASA