Ooh jamani mbona wasanii wana kosa mwelekeo au ndio kuchizi.

Muziki umekuwa biashara na hakuna anayelenga kupata hasara. Wengi wa wasanii wanakwenda missing kwenye game mpaka wakati wanapokusudia kuteka hisia za mashabiki na ujio wa kazi zao mpya. Wengi husema ni kiki tu za kuwapa mileage. 

Akothee akishikwa mkononi.

Msanii wa kike Kenya, Akothee baada ya kuzama kimuziki sasa anaonekana kuwa mwenda wazimu kama sio kiki anatafuta ya ngoma yake ijayo. Kupitia post ya comedian Jalangoo, ameweka picha ya msanii huyo ‘Tucheze,Give it to me’  akiwa ameshikwa na mwanaume kwa mazingira yenye taswira ya hali upunguani. 

Tazama hii hapa:

#MitegoEA.

Subscribe to my New YouTube channel MITEGO SASA.