Je unafahamu kwamba Kenya kuna vijana wenye uwezo mkubwa kuweka game la muziki wetu ngazi ya kimtaifa?

Usiwaze sana kwa kuwa Meru Kenya kuna lebo kubwa ya kupromote muziki ambayo kwa sasa inakuwa kwa kasi kutokana na harakati za management ikiongozwa na CEO Kayfar Watanashati.

Kayfar ni kijana mwenye umri mdogo ila mawazo yake makubwa. Amekuwa mstari wa mbele kusaidia muziki kukua haswa Meru na kukuza vipaji Afrika Mashariki.Na zaidi amehusika kwenye matamasha makubwa makubwa nchini.

Watanashati Classic ni bonge la lebo ukilinganisha na Wcb Wasafi yake Diamond Platnumz kwani ashawahi kumleta Diamond kufanya show mji wa Meru. Kuna lebo nyingi kubwa kama ya GrandPa yake RefigahKaka Empire chini ya Dennis, Wcb chini ya Babu Tale, Salam lakini angalia Watanashati Classic chini ya Kayfar utapenda nitupio yake mikali.

Kayfar Watanashati Classic.

#MitegoEA

Subscribe to my new You Tube channel: MITEGO SASA.https://goo.gl/nKso2G