Fahamu watu wanaokujengea furaha yako kila siku kwenye maisha.

Radio ni sehemu kubwa ya burudani ukiachana na habari kwani wasanii na watu mbalimbali usambaza kazi zao humo kwa kusudi ya kufanikisha siku yako.

DJ IMMO.JPG
Dj Immo na Duflah pamoja na Refigah

Huyu ndiye Dj Immo kwenye mashine ndani ya Konect show kupitia Radio Maisha. Ni kipindi chake Clemmo 254 na Mwende Macharia.

Dj Immo nimkali wa mix hatari kwa sababu anafahamu mkubwa wa muziki baada ya yeye kuenda chuoni kusomea udakitari Badala lake akarudi akiwa Dj.

konnect.jpg
Dj Immo, Mwende na Clemmo

Tazama uwezo wake kwenye mix kupitia hii YouTube channel MITEGO SASA link://youtu.be/6PwadSqzCpY. Usikose ku subscribe!

#MitegoEA.