Yamoto band ilikwisha sambaratika na sasa kila msanii anapambana na hali yake kutoboa ili game la muziki. Mmoja wao ni Beka kwa sasa yupo chini ya Wcb Wasafi huku wenzake wakijitahidi kivyao.

aslay.jpg
Aslay

Aslay mkali wa ‘Mhudumu‘ anajikaza na anaonekana kuja na mtindo mpya wa kuachia mashuti ya hatari ngoma baada ya ngoma yaani bandika bandua.

Mwimbaji huyo anayefahamika kwa hit songs kibao ndani na nje ya Yamoto, sasa ameachia video mpya ya ngoma kwa jina ‘Baby’.

asaly baby.jpg
Aslay

Tazama hii hapa chini, na kumbuka kusubscribe kwenye YouTube channel yetu mpya>>MITEGO SASA.Link hii:https://goo.gl/1QNSku

#MitegoEA.