Simba baada ya kumpoteza mama mkwe wake ambaye ni mama yake Zari, alifika matangani.

simba.jpg
Simba mama yake Zari na Tiffah

Mkali huyo ambaye ni Diamond Platnumz aka baba Tiffah na Nillan, alihudhuria hafla ya mazishi ya Halima Hassan baada ya kutatizika na shinikizo la damu na maradhi ya moyo.

Platnumz alionyesha mapenzi yake kwa familia hio yake ya pili kwa kuwapa ushirikiano katika shughuli hio nzima.

mazish.jpg
Diamond akifukia kaburi la marehemu mama mkwe

#MitegoEA.

Subscribe kwenye YouTube channel yetu hii>MITEGO SASA TV