Dah! kumbe nazo pesa zina uwezo mkubwa wa kubadilisha mtu na kumpa mwonekano mpya kwenye macho ya watu!

Ama kweli safari ni hatua na kama hujafa hujaumbika, huwezi ukaamini jinsi alivyokuwa msanii gwiji wa bongo fleva Tanzania licha ya kulelewa na mzazi mmoja, mamake kutokana na kutelekezwa na baba yake.

Diamond Platnumz aka Abdul Nassib Juma aka Simba aka Dangote, baba Princess Tiffah na Prince Nillan, sasa ni mkali wa fashion mbali na kungaa majukwaani.

Tazama picha zake za utotoni kisha ulinganishe na za kisasa uone maajabu.

12744001_944595362289064_729026428430699068_n
Diamond
12027675_946408108774456_9158244448410332926_n
Romy Jones cousine yake Diamond

19894994_1363758083706121_2378892321492971327_ndiamond

12742497_945260178889249_85846124269757290_n
Diamond

#MitegoEA.

Subscribe kwa MITEGO SASA TV channel twende sawa!!