Diamond Platnumz baada ya kutangaza ujio mpya wake collabo pamoja na msanii maarufu Nigeria, Patoranking sasa ni zamu ya Sauti Sol.

Wizkid na mmoja Sauti Sol.

Platnumz aliweka wazi kuhusu collabo hio yao na mkali huyo ‘No Kissing’ ambaye pia amepiga collabo na Navy Kenzo ‘Bajaji’.Wataachia wezi September.

wizkid ayo.jpg
Wizkid

Mkali wa Nigeria Wizkid baada ya kupiga show jijini Nairobi mwishoni mwa wiki sasa ni wazi kuwa msanii huyo atakuwa tayari kuachia collabo na kundi la muziki kenya, Sauti Sol baada ya kukutana stajini KICC kuporomosha show hio.

saut sol
Sauti Sol

Sauti Sol ambao kwa sasa wanateka anga za burudani kupitia single yao ‘Friend Zone’ wanawania pia tuzo za AFRIMMA 2017 kama kundi bora. Walioteuliwa majina yako hapa: www.afrimma2017.com

Kupitia ukrasa wao wa twitter wamepost hivi;

#MitegoEA.

Subscribe kwa channel yetu YouTube uapte uhondo wa video tamu tamu.>MITEGO SASA TV