Tazama alichopost kwenye mtandao wake wa twitter muda mfupi tu baada ya kutawazwaubunge Uganda msanii na mwanasiasa,Hon. Bobi Wine.

‘Uganda’s Heritage is a key contributor to our Tourism sector! However there’s still need for more efforts to boast Uganda’s tourism!’

Hizi hapa picha alizoweka kwenye mtandao huo wake. Tazama juhudi zake kupigania haki za wananchi walio wengi Uganda.