Dii ndio mziki yake ya pili (I wanna live by Vinnho) baada ya kutamba na Designer ambayo ilimpa jina yake ya pili ya utani “Designer”>> https://www.youtube.com/watch?v=1C7gNJ16Ukg&t=25s

Na hiyo ndiyo gari anatarajia kumnunulia mamake akifanikiwa kimziki..

Mwanamziki mchanga lakini Shupavu kwa RnB.. Hebu msikize

4 COMMENTS

  1. Ndiyo ametosha mboga,miziki zake zina maudhui ya kimapenzi ya sasa, Pia manneno na tune take ni ya kipekee na ya kisasa. Nyimbo zake zona mguso was kipekee ambao hauwezi kuigwa wala kuvumiliwa. Anaonekana kuwa shupazi na mwenye kipawa kamilifu. Yeye ndiye mshuma wa Kenya siku zijazo. Naenzi miziki zake.????

Comments are closed.